Msanii,TID, kupitia ukurasa wake wa Facebook,ameonyesha kufikia mahali ambapo anataka kumaliza tofauti zake na waandaaji wa Kilimanjaro Music Awards maarufu kama Kili Awards. Ingawa hakuweka wazi kuhusu tofauti hizo binafsi naamini ni kutokana na yeye kuwa miongoni wa wasanii ambao wamekuwa wakionyesha kukerwa na utaratibu mzima wa jinsi tuzo hizo zinavyotolewa kiasi kwamba wengine wamekuwa wakielezea wazi kwamba hawataki hata kuwepo kwenye orodha ya nominees. TID ameandika hivi;
Post a Comment