ASKARI WA JESHI LA POLISI WAMETANDA KILA KONA YA JIJI LA DAR
ILI KUZUIA KUFANYIKA KWA MAANDAMANO HAYO,YENYE KUDAI KUACHIWA HURU BAADHI YA
WAISLAM,AKIWEPO KATIBU YA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM NCHINI,SHEIKH ISSA
PONDA WANAOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA MAKOSA MBALI MBALI YAKIWEPO YA
UCHOCHEZI WA DINI
ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YA Boss Ngasa ILIKUENDELEA KUPATA HALI
INAYO ENDELEA DAR
KADRI YA UWEZO WETU KUWAJUZA YANAYO JIRI
|
Post a Comment