Adsense

LYRICS | FUTURE JNL-TENA |

lyrics-future.jpg


ARTIST; FUTURE JNL
SONG : TENA
LYRICS : PRINCE SAULO

[Intro]
Aaahhh
Oya Boo i dont know
what to do
Raaaaaaaa


[VERSE 1]
Sometimes mi nawaza
roho yako iridhike
kwangu utulie
Nina Mambo Mengi
Sana
Ila Natambua
Aaaaghhh
Na Mengine Yanauma
Siwezi simulia


[BRIDGE]
Enheee
Nakumbuka kauli yako
moja ya uchungu unalia
Eti Mimi ndo mwanaume
wa ukweli
aliyekupa Mungu
Aliyebarikiwa


[CHORUS]
Enheee
Oya Boo i dont know
what to do
Enheeee

Oya Boo i dont
know what to do

TENA

TENA

TENA



[VERSE 2]
Raaaaaaa
Hii Ni kazi ya Maisha
Zanielea puta
Kutwa mi nahangaika
usiku kucha ili
kukuridhisha

Kukwepa wanafiki
mafedhuri
Kuharibu Upendo

Roho zao kaniki
yenye kivuli


[BRIDGE]
Enheee
Nakumbuka kauli yako
moja ya uchungu unalia
Eti Mimi ndo mwanaume
wa ukweli
aliyekupa Mungu
Aliyebarikiwa


[CHORUS]
Enheee
Oya Boo i dont know
what to do
Enheeee

Oya Boo i dont
know what to do

TENA

TENA

TENA

No comments