LYRICS | OMMY DIMPOZ-HAWAPENDAGI |

ARTIST: OMMY DIMPOZ
SONG ; HAWAPENDAGI
LYRICS ; PRINCE SAULO.
[CHORUS]
Kumbe Hawapendagi
kuniona niko na wewe
Hawapendagi Aiiiii X 2
Penzi Letu mimi na
yeye (Na Yeye) X 2
Kumbe Hawapendagi
Aiiiiiii
[VERSE 1]
Japo Wanachonga
chonga
Kwetu Sisi ni Barabara
Mbele Tunasonga Songa
Kwa Uwezo wake Mola
Uwezo wake Mola
Ohh Molaeeehhh
Umenifanya Mpaka Sasa
Niko Nae
Kwa Penzi Lake Bora
BoraEeehh
Imenifanya mpaka Sasa
nidumu nae
[CHORUS]
Kumbe Hawapendagi
kuniona niko na wewe
Hawapendagi Aiiiii X 2
Penzi Letu mimi na
yeye (Na Yeye) X 2
Kumbe Hawapendagi
Aiiiiiii
[VERSE 2]
Kama Moyo ushapenda
(Ahhhh usilie]
Jamani Nafsi yangu
ishapenda
Maneno maneno wanasema
sana (Ndo kazi yao)
Eti Haunifai
hatuendani Mama
Ohhh Kumbe
Hawapendagi X 2
[CHORUS]
Kumbe Hawapendagi
kuniona niko na wewe
Hawapendagi Aiiiii X 2
Penzi Letu mimi na
yeye (Na Yeye) X 2
Kumbe Hawapendagi
Aiiiiiii
[Outro]
Ahhhhh
PKP
Pozi Kwa Pozi
Mane Mane Mane
Maneno Maneno X2
Wanasema Sema Sema
Sana
Ohhhh Wanachonga Chonga
Sana
Post a Comment