DAA KICHUPA KIPYA CHA DIAMOND PLATNUMZ KUTOKA MWEZI HUU ANAWATAKIA KILA KHERI WATU WOTE WLIO MSAPOTI KATIKA MUZIKI
Platinumz diamind anawatakia kila kheri kwa wale wote ambao wamemfikisha pale alipo na waka msapoti kwa kila jambo ambalo wamefanikisha tangia ameanza muziki mpaka sasa.Najua atakuwa ametoka mbali tangia ametoka kwanzia show ya MLIMANI CITY NA TUZO MBILI NA ZILE TATU hadi sasa amepiga shoo BIG BROTHER AMPLIFIED hadi kuchagua ma model kwenye movie shukrani zenu wote DIAMNOD PLATNUMZ HAHAHAH KIPENZI CHA WANADADA
Post a Comment