Adsense


HII NI SHOW NILIOFANYA JANGWANI SEC. KWA AJILI YA KUCHANGIA WANAFUNZI WALEMAVU......

Jioni ya jana nilifanya show katika shule ya sekondari Jangwani, kwenye tamasha maarumu kwa ajili ya kuelimisha wanafunzi juu ya athari za malaria, kukusanya pesa kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wenye ulemavu na pia kukuza vipaji vya wanafunzi. Tamasha hili liliudhuriwa na wanafunzi wa shule mbalimbali za Jijini Dar.












No comments