HIZI PICHA NI MAALUM KWA MNAOPENDA KUMFATILIA RIHANNA KAVAA NINI.
Posted: 3rd October 2012 by MillardAyo in News
Hii ni juzi wakati mwimbaji Rihanna alipokua anaondoka kwenye hoteli aliyofikia Manhattan New York na kuelekea kwenye nyumbani kwa bibi yake huko Brooklyn na baadae aliporudi hotelini ndio akakutana na mashabiki pamoja na paparazzi wakimsubiri.
Post a Comment