Imethibitishwa kuwa msanii atakaekuja Kuperform katika jukwaa la SERENGETI FIESTA ya Dar es salaam 2012!! ni RICK ROSS....Tamasha hilo ambalo litafanyika October 6 kwenye viwanja vya Leaders Club,na kwa Mara ya kwanza Dancers wangu (Wasafi) tangu watoke America watadondoka pale na kuonesha wamejifunza nini kwa muda wote walipokuwa huko...so stay tuned hii inakuhusu pia....
Post a Comment