PICHA 6 ZA NYUMBA WANAYOISHI WAZAZI WA DOGO ASLAY WA ‘NAENDA KUSEMA KWA MAMA’
Posted: 2nd October 2012 by MillardAyo in News
Hapa ni Gongo la mboto Dar es salaam, wazazi hawa walianza kuishi hapa baada ya kushindwa kumuda bei ya nyumba karibu na mjini walikokua wanakaa mwanzo, kodi ya hii nyumba yenye sebule na chumba ni elfu 20 mwa mwezi, iko mbali sana kutoka barabarani ambapo kwa gari ndogo nilitumia dakika 58.
kwa sasa hivi Dogo Aslay ambae anafanya muziki wa bongofleva anawasaidia wazazi wake kujenga nyumba ambayo itawafanya wawe huru na kuondokana na maisha ya kupanga ambayo yaliwahi kumlaza baba yao polisi kwa kushindwa kulipa kodi.
Post a Comment