Adsense


RICKY ROZAY NA YOUNG JEEZY WAZOZANA BACKSTAGE



 Rick Ross and Young Jeezy

Licha ya kupanda kwenye stage wasanii wa wakubwa wa hiphop kwenye hiphop bet awards 2012 huku atlanta jumamosi ya jana, unaambiwa show kali ilikua backstage
 Ross Rick na Young Jeezy waliripotiwa kujibizana na kusukumana wakiwa backstage na kusababisha tuzo hizo kusimama kwa muda
website ya TMZ imeripoti kuwa Mashahidi wa macho waliwaona wakibadilishana manenomakali Backstage kabla ya kuanza kusukuma. Security wa BET na bodygads  wakaingilia kutuliza ugomvi lakini baada ya kutulia kiaina inasemekana mmoja wa kundi la rozay alirusha risasi wakiwa parking.
Rozay na jeezy ambao wotewamesainiwa na def jam wamekuwa na beef kitambo ila show iliendelea kama kawa na rozay alipanda stage na omarion ambae yuko chini MMG.
 wakati jamaa wakiendeleza beef  Fat JOe na 50 Cents walimaliza beef lao jukwaani walipopanda kutoa heshima kwa manager Lighty ambae alikutwa kajiua mwezi mmoja uliopita
chini ni tweets za Funk Master Flex alizokuwa akitutweet wakat akiwa kwenye tuzo hizo


Funk Flex Reporting on the Jeezy/Rick Ross Altercation

No comments