SISTER MARY YA RAY................
MWENYEWE AIELEZEA
Baadhi
ya wadau msiwe wajuaji sana kabla ya kitu kukijua kuwa mjinga ili ujue
mengi usijifanye mjuaji wakati ujui chochote, nadhani kwa wahusika
ujumbe utakuwa umefika na waswahili wanasema kuwa kukaa kimya ndio jibu
la mjinga, hili ndio kasha la movie yangu mpya inayokwenda kwa jina la Sister Marry iliyotengenezwa na kampuni yako bora ya Rj Company,
si mzigo wa kuukosa maana umejaa mafunzo mengi sana lengo ni kufundisha
kama kawaida yangu na sikuikashifu dini wacha tuone mambo yaliyofuata
uko chini..
Mt Maxmillian Corbe..
Watawa wakiwa makini kusikiliza mafunzo.
Masister wakiwa kwenye Ibada.
Masister wakipata chai ya pamoja.
On set ofisini kwa Sister Mkuu.
Father Criss wa kulia akiwa na Askofu
Baada ya Ibada.
On Set.......
Sister Mkuu na Father Criss wakiwa kazini..
Majukumu ya kikazi yakiendelea.
Father Criss na Sister Marry mwenyewe ambaye ni Irene Uwoya..
Scene za Hospital..
Picha ya pamoja baada ya kazi kumaliza kwa siku hiyo..
KUTOKA: http://raythegreatest.blogspot.com
Post a Comment