VURUGU ZA MAANDAMANO YA WAISLAMU ZILIZOTOKEA SIKU YA JANA MBAGALA......
Baadhi ya waandamanaji wakiwa jirani na Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala jijini Dar,siku ya jana. |
Baadhi ya maafisa wa polisi wakinawa maji baada ya mabomu ya machozi kupigwa. |
Paul Martin ambaye alidai alikuwa akienda sokoni ndipo akaambulia kipigo.... |
Baadhi ya waandamanaji wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi. |
Baadhi wa waumini wa kanisa la T.A.G wakililinda kanisa lao. |
Kanisa la Aglikana ambalo pia lilishambuliwa na waandamanaji. |
Hili ni gari aina ya Noah,lilopasuliwa vioo katika vurugu hiyo.... |
Rav 4 hii pia ilipasuliwa vioo.... |
Gari hili lilichomwa moto katika vurugu hizo.... |
Ni mmoja ya mtu aliyejeruhiwa kwenye vurugu hizo.... |
Post a Comment