SIKILIZA UJIO MPYA WA KIGOMA ALL STARS -NYUMBANI
Baada ya kufanya vizuri na ngoma yao ya lekadutigite,
Kigoma all stars leo hii wameachia ngoma yao mpya unaoitwa "
Nyumbani",
safari hii wakisifia Tanzania kwa ujumla, ikiwa ni pamoja na kuhimiza
mshikamano kwa watanzania kwa ujumla.
Post a Comment