Utafiti uliofanywa kwenye mitandao ni video queen gani alieandikwa kwenye mitandao Imebainika ni video Queen kutoka Kenya...Mrembo huyo alietokea kwenye video ya P-Unit vera sidika a.k.a Beiby Vee ndio ameandikwa sana kwenye Intanet.........Ameandikwa mara 120 kwenye intaneti......
Lakini kasoro iliingia kwenye video hiyo baada ya siku chache kutoka taarifa zilizaga kutoka kenya kwamba video hiyo imefungiwa kurushwa kwenye kitu cha television CITZEN TV....., Kutokana na ukali wa picha Hasa za Huyu Mrembo...!! |
Post a Comment