TSHIRT MPYA ZA JAY Z NA PHARAELL ZATOKA
dizaini tofauti tofauti za tishert za
"Magna Carta Holy Grail" sasa
zimeshaanza kuonekana mtaani.
lebo ya mavazi ya Jay Z na
Pharrell "Billionaire Boys Club
imeungana kwa ajili ya kuengeneza
dizaini tofauti tofati za tishirts za
Magna Carta Holy Grail.
Tshirts hizo zilizochapishwa jina
la album ya Jay Z iliyotoka 2011,
zimedizainiwa na SK8THING na
zinapatikana kwa rangi nyeupe na
nyeusi
dizaini kama Hoodie na crewneck
za tshirts hizo nazo ziko katika
maandalizi ya kutoka.
Post a Comment