Video: Manager wa Lil Wayne asema album ya Cater V haitatoka May 5th
Kama unakumbuka vizuri nilishawahi kureipoti kuwepo kwa tetesi za
kudondoka kwa album ya Lil Wayne mwezi wa tano, lakini katika moja
yainterview aliyoifanya Manager wa Lil Wayme Cortez Bryant amezima
tetesi zilizokuwa zikidai kuwepo sokoni kwa album ya Lil Wayne Tha
Carter V ikifika mwezi wa tano.
Mwanzoni mwa mwezi wa pili Drake alitangaza kupitia kwenye akaunti
yake ya twitter na on stage alipokuwa na Lil Wayne kuwa album hiyo
itatoka tarehe 5 May, lakini alipoambiwa kuthibitisha tarehe hiyo,
Cortez alisema kuwa album hiyo haitatoka mwezi wa tano, na kufunguka
kuwa anajua siku ya kutoka kwa album hiyo
“You know I push dates back and sh*t, so I’m
not going to release that date ’til I really, really, really know when
it really, really, really is.”
Post a Comment