LYRICS | Cyrill Kamikaze - Sinunui Stress |
SONG: SUNUNUI STRESS
ARTIST: CYRILL KAMIKAZE
CHORUS:
Sinunui stress(sinunui stress) sinunui shida (sinunui shida) *2
Na nunua furaha *4
VERSE1:
Mbona Kamikaze yupo nje kila siku,shows hafanyi na bado anakula bata tu
Vipi kwenye listi yeye habebi maana tunasikiaga sikiaga nae begi
kila mmoja ana matatizo yake mtaa kila mmoja ana shida zake mtaa
Usione watu wamechill ukadhani wana furaha upate mwanya wakuingizia zako njaa.
CHORUS:
Sinunui stress(sinunui stress) sinunui shida (sinunui shida) *2
Na nunua furaha *4
VERSE2:
Na safisha chuki na maneno ya furaha,Tabasamu langu kubwa na Tamaa haijakaa,
Ujamaa ndiyo nguzo ya kwanza nayoiona inafaa,
Pesa yaja brother baada ya kuitafuta
usinunue stress kila kitu kiwe shega, man vuta hela wala usivute ngada
shida zinakujaa na kupita (stress) *2
CHORUS:
Sinunui stress(sinunui stress yo) sinunui shida (sinunui shida) *2
Na nunua furaha *4
OUTRO:
YEAH ITS YOUR KID CYRILL AKA KAMIKAZE
SINGIDA IS IN THE BUILDING
ITS WAKACHA BAABY
BIN LADEN I SEE YOU (shida zinakuja na kupita)
Post a Comment