LYRICS | Darasa - Hasara Roho | Written By PrinceSaulo
LYRICS | Darasa - Hasara Roho | Written By PrinceSaulo
DARASSA - HASARA ROHO
Kama unataka kiki kwa
pikipiki
Mara Black
Mara White vipi
I play no game
am sorry rafiki
ukija kama upepo utapepea
ukijifanaya una mapepo tunakukemea
kama unataka mchezo kawashe runinga
siku hizi hamna mtu anayetaka
ujinga
Ujanja wa nyani mjini
utaingia kingi
meli inaelea feli
inazama shillingi
haraka na harakati zako za
pimbi unatake
kucheza wewe
na ushike filimbi
{CHORUS}
Binadamu angekuwa nenja
maneno yangeshutigi kama risasi
vitu vingine vikienda havirudi
rivasi kama samaki
hasara ya roho inachopenda
tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasi wasi
tukaze mwendo ili
twende na wakati ehh
www.princesaulo.blogspot.com
{verse 2}
Dawa iweke tuzo ya wachukiaji
Bongo kuna watu wana vipaji
unarusha madongo kwenye
maji
Bora upige michongo utanipa
midadi
Mara Chenga
Maro no network
zigi zaga vitu havieleweki
life siku hizi imezidi
kucomplicate
ukichanganya na mambo ya
internet
Jelaa mwisho utatukana picha
ukutani
Jela sisi hatutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
au unatoka goma lipo
uwanjani
kushoto kulia juu
chini kamatia
mzigo wa abiria dereva na gear
kichwa cha panzi
we lewa sifa kama bear
si tupo serious wewe unatuektia
{CHORUS}
Binadamu angekuwa nenja
maneno yangeshutigi kama risasi
vitu vingine vikienda havirudi
rivasi kama samaki
hasara ya roho inachopenda
tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasi wasi
tukaze mwendo ili
twende na wakati ehh
www.princesaulo.blogspot.com
Utasema nakudiss ila
mimi mwenyewe una ni mix
mengine ni madalanzi
na sura ya machungwa utajua vipi
kuji switch switch
mtu kiatu mtu fifty fifty
huja hufai hutaki chai
moja haikai mbili haifai
wewe wapi unafit eeehhh
WRITTEN BY PRINCE SAULO
Post a Comment