AKON SOON KUFANYA SHOW NCHINI KENYA
Baada ya mtu mzima Rozay kukisanua mbaya katika show kali ya kijanja hapa town ya Serengeti Fiesta 2012 Tzee.Sasa habari ambazo tumezipata kutoka 254 nairobi kenya ni kwamba siku ya tarehe 27october na tarehe 28 wanatarajia kupata burudani kali kwa mtu mzima Akon Daaaaaah!!!!!!!! dzain kama nahisi show itakuwa powa sana ebu msikilize yeye mwenyewe Akon akifunguka kuhusiana na show yake tarehe 27 na 28 nchini kenya.
PREZZO FACE TO FACE NA JAY Z
Ni moja kati ya wasanii ambao walipa chance ya kwenda kuiwakilisha nchi yake ya Kenya katika mashindano ya Big Brother Star Game mwaka huu na akafanikiwa kuwa mshindi wa pili.Sasa baada ya kuwa mshindi wa pili prezzo bhana alipata shavu la kuwa Balozi wa One compaign nchini
Marekani na hii ni moja kati ya picha ambazo baada ya kufika nchini
marekani alikutana na mkali wa hip hop anayefahamika kwa jina la Jay z.
HAPPY BIRTHDAY BRUNO MARS
Kutoka pande za state tunakuta na msanii ambaye mwenye ladha fulani hivi za R&B huyu si mwingine jina lake alisi Peter
Gene Hernandez lakini katika upande wa muziki anajulikana kwa jina la
Bruno mars.Msanii huyu bhana siku ya leo anatimiza miaka 27 toka
azaliwe
October 8, 1985.Tunamkia maisha mema na harakati nzuri katika game la muziki.




Post a Comment