Adsense

CHECK OUT: BEYONCE NA JAY Z NDANI YA BARCLAYS CENTER LAST NIGHT

NU JOINT/ MAINO FT. PUSH.TWIGG MARTIN “A DIFFERENT KIND A NIGGA”

Kutoka pande za state tunakutana na msanii ambaye kipindi cha kinyuma alikuwa anatamba na pini ambalo daaaah!!! likichezwa Club na sehemu zengine basi ilo ngoma lazima watu wanyanyuke na waanzaee kucheza na hiyo ngoma ilikuwa inafahamika kwa jina la All the above ambayo alikuwa amemshirika T pain.Kwa sasa habari ambayo dzain ime headline sana kwenye mitandano mbalimbali ni kwamba msanii huyu soon anatarajia kuachia ngoma yake mpya katika upcoming mixtape ambayo inakwenda kwa jina la The Mafia ambayo mixtape hiyo ataitoa October 9th.Sasa basi dzain kwale mashabiki wa Maino inawahusu hii.!!!!!!!!!!!!!!!!


JAY Z SOON KUSAMBAZA "LIVE IN BROOKLYN"EP

Ni moja kati ya wasanii kwa namna moja au nyingine naweza kusema kwamba wanafanya vizuri katika game la muziki huyu si mwingine namzungumzia mtu mzima Jay z.Msanii huyu bhana baada ya kupiga show kadhaa katika ukumbi wa Barclays Center in Brooklyn,Sasa habari ni kwamba msanii ameona ngoja atoe live in Brooklyn kwa mashabiki wake ili waweke kama kumbukumbu ya historic moment kwa kile ambacho alichokifanya katika ukumbi wa Barclays Center. 
The hip-hop tycoon will release Live in Brooklyn, an 8-track optic EP of live recordings from his Barclays concerts. The digital album also includes eight live performances and will be available exclusively on iTunes on Tuesday, October 9, via Atlantic Records.

LUDACRIS KUFANYA COLLABO NA M.I.A

Naweza kusema kwamba Ludacris 2011 alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walitoa burudani ya kutosha kabisa katika stage ya Serengeti Fiesta katika viwanja vya Leaders Club.Sasa habari nzuri ambayo tumeipata kuhusiana na msanii huyo ni kwamba ludacris usiku wakuamkia leo alikuwa studio na mwanadada ambaye anajulikana kwa jina la M.I.A wakifanya ngoma yao mpya kabisa ambayo soon wataitambulisha.
Meanwhile, M.I.A. will release her first book on October 23. The 192-page M.I.A. documents the career and one-of-a-kind style of the Grammy-nominated artist through 300 images and several unpublished testimonies.

No comments