CHECK OUT: NICK MINAJ ALICHOMUANDIKIA MARIA CAREY KATIKA UKURASA WA TWITTER
NU JOINT/ STALLEY “LOUD MOTORS”
The boss na Stalley
Ni moja kati ya wasanii ambao wanatatokea katika Label ya mtu mzima Rozay inayofahamika kwa jina la Maybac music group (MMG).Sasa habari nzuri ni kwamba msanii huyu siku za hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya ambayo ameipa jina la "LOUD MOTRS"daaanh ni bonge la pini ebu fanya kama una press play hapo chini yaani hiyo track iko barridaahh!!!!!!!!!
Produced by Rashad, Stalley cranks up the beat and rolls out his latest track for the return of his Songs By Stalley series.

Friday, October 5, 2012
NE-YO SOON KUACHIA ALBUM YAKE KITAANI "R.E.D. ALBUM"
Ni moja kati ya wasanii kiukweli wanaofanya vizuri katika game la muziki
pia ni wenye hisia kali za kimuziki kwani utakuta pale anapoimba lazima
aonyeshe hisia zake katika kazi yake ya muziki.Sasa habari nzuri
tuliyoipata kuhusu Msanii huyu bhana ni kwamba tarehe 6 mwezi wa novemba anatarajia rasmi kuachia album yake mpya kitaani ambayo itakwenda kwa jina la "R.E.D Album" pia alifunguka na kusema kwamba album hiyo mpya ambayo anatarajia kuachia soon alisema imehusisha vinjwa mbalimbali kama Wiz Khalifa,Fabolous,Diddy,Calvin Harris, na Tim McGraw.
Check out the cover art and tracklist below.
Check out the cover art and tracklist below.

Post a Comment