Adsense

CHECK OUT:JUX VUITTON AKIFANYA NGOMA MPYA NA CHIEPH ROCKA NCHINI CHINA

                                 Chiep Rocka (kulia)producer (kati) Jux vuitton (kushoto)
 Tunafahamu kwamba mtu mzima Jux yupo nchini China sasa habari ambayo tumeipata ni kwamba siku za hivi karibuni mtu mzima Jux aliamua kutimba pande za studio na kufanya ngoma mpya na mtu mzima Chieph Rocka.Hapo chini ni baadhi za picha ambazo Jux yuko studio aki record pini jipya baada ya kumaliza ku record ngoma hiyo mpya Jux na Chiep Rocka waliamua kutimba pande za Beijing na kuanza kuaanda video mpya.

  posted by prince saulo 4:36PM SATURDAY

No comments