Wiz Khalifa ni moja kati ya wasanii wanao hit na ngoma kali hapa
Bongo Land hata nje ya
Bongo Land.Msanii huyu japokuwa soon anatarajia kuachia
album yake ya pili mpya
Desember 4 inayokwenda kwa jina la
O.N.I.F.C ambayo album hii imebeba Tracklist 17 na katika track hizo ndani yake amehusisha vinjwa mbalimbali vikali.Sasa Wiz bhana mida ya jana usiku aliachia ngoma yake inayokwenda kwa jina la "Runways"lakini kumbe katika hii ngoma bhana dzain kapigaa zilee Freestyle daaaah!!!!!! kiufupi ni nzuri sasa hii ni time yako na wewe ebu fanya kama una click hapoo uone jinsi alivyofanya yake yaani bariidahh!!!!!!!
Post a Comment