Adsense

DIAMOND AWA NA FURAHA BAADA YA KUTAJWA KUWA KING OF BONGO FLAVA NA MTANDAO WA MSN

Siku ya jana mtandao mkubwa Duniani kwa jina la MSN uliweza kutangaza majina mawili ya wasanii wa Tanzania kama ndio bora zaidi kwa kuwapa vyeocha King na Queen of Bongo flava.Wasanii hao waliotajwa na kupewa vyeo ni mtu mzima Diamond Platinum wa wasafi na mwanadada Lady J Dee baada ya kupata taarifa hii kutoka katika mtandao mkubwa duniani unaojulikana kwa jina la MSN sasa bhana Diamond akaamua kuandika ujumbe katika site yake baada ya kutajwa katika mtandano huo
"Honestly nmejiskia furaha sana kuandikwa katika mtandao mkubwa kama huu,
juu ya kazi yangu ya muziki ninayoifanya na kupewa heshima ya kuwa King of Bongo Flava.
Hii inaonesha ni jinsi gani muziki wetu umepiga hatua na unazidi kuvuka boda" Huu ndiyo ujumbe uliyoandikwa na mtu mzima Platinum baada ya kutaja katika mtandano mkubwa Duniani unaojulikana kwa jina la MSN.

No comments