LIST YA TOP 5 MATAJIRI WA MUZIKI WA BONGO FLEVA TANZANIA
1. LADY JAY DEE NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA KUWA MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE. |
KWANI
UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA MAFANIKIO YAKE KIMAISHA.
MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA
|
4.PROF J
NGULI WA MUZIKI WA
BONGO FLEVA TANZANIA,ANAFANYA SHOW NYINGI ZA NJE,NI MSANII AALIYE DUMU
KWA MDA MREFU,ANAMILIKI NYUMBA YA KISASA YA ZAIDI YA TSH.MIL 100,
ANAMILIKI GARI,MASHAMBA
|
MSANII WA SIKU NYINGI KATIKA GEMU,KWA JINA JINGINE NI MKONGWE KATIKA MUZIKI WA TANZANIA HUU WA KIZAZI KIPYA,ANAMILIKI GARI,MASHAMBA,PIA NI MFANYA BIASHARA ,ANAMILIKI NYUMBA |
Post a Comment