Aunt Ezekiel
Hivi karibu Aunty Ezekiel alijitetea na kunukuliwa kwenye chanzo
kimoja akisema, “Ni kweli nilikuwa ninacheza katika Jukwaa (Stage) na
nilikuwa nimekunywa, lakini sikuwa nimedhamiria kukaa uchi bali ni mbinu
za wapiga picha ambao walitumia njia ya kuamua kunidhalilisha kwa
kunipiga picha wakiwa chini ya Jukwaa (Stage) ili wapate kuuza magazeti
yao, hata ukiangalia picha zenyewe zimepigwa kiujanja sana.” |
Post a Comment