"Nasubiri
kuwa baba na kuwa na furaha kama wanaume wengine ,lakini nakuwa
mwoga siku baada ya siku na ninamuomba Mungu mtoto wangu asifanane na
mimi.alisema Khatana.
Latif
,anaishi katika Milima ya Tuli Bana katikati ya jammu na kashmir na
mke wake salima mwenye umri wa miaka 25 ,husafiri kwa muda wa miezi
minne kila mwaka kwa ajili ya kwenda mjini kuombaomba fedha.
|
Post a Comment