PICHA ZA WATU SITA WAFUASI WA SHEIKH PONDA WALIOKAMATWA WAKITAKA KWENDA IKULU.
Posted: 19th October 2012 by MillardAyo in NewsWaandishi wa habari ambao wapo karibu na Ikulu wamesema hawa watu walifika mmoja mmoja kabla ya kudhibitiwa na Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na kupelekwa Kituo Kikuu cha Kati ambapo pia waandishi wameshuhudia gari mbili za jeshi la Polisi zikiwa zimebeba wanajeshi waliokuwa na silaha.
Post a Comment