Adsense


PHOTOS: UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA WIZ KID

Weekend hii Msanii Wizkid aliungana na wasanii wenzake Banky W, Skales na  Shaydee katika kutengeneza video ya single yake iitwayo ‘Sun Mo Mi‘ kutoka kwenye album iitwayo EME “Empire State of Mind“.
Katika video hiyo utapata kuwaona watu maarufu toka Nigeria kama Lynxxx, MoCheddah, huku mzigo mzima ukiwa umesimamiwa na Director Clarence Peters. The video promises to blow your minds.
Banky W.
Crew nzima ya EME.
Shaydee & Wiz Kid.
Shaydee akiwa na Mrembo.
Tags: 

No comments