Adsense

Aslay - Marioo | LYRICS


Aslay-Marioo | LYRICS


Baby nipe nikatumie nisipodeka kwako nikadeke kwa wapi mie
Nataka gari uninunulie nataka pamba kali nipendeze
Na mimi wanisifie wanisifie
Mi kitandani fundi nafanya unalia kama bundi
Huo wivu wako sipendi nipe pesa mi nikale tunyi
Nakufundisha mapenzi japo una umri washangaza
Nakudatisha kichizi mpaka mumeo unamuona makuzi eh
Napatapata vitisho nikiwa kitaani
Mumeo anataka kuniua eti kisa nini eh
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi
Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto
Nipe pesa nikupe ukitakachoo ukitakacho
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto
Nipe pesa nikupe ukitakachoo
Oyi eeh mama anataka pesa hana aliniomba toka jana
Anataka sare aende zake kwenye ngoma
Mmh basi mpe si umependa mboga penda na ua lake
Akinuna atafanya zifungwe rizki zote
Napatapata vitisho nikiwa kitaani
Mumeo anataka kuniua eti kisa nini eh
Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi
Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto
Nipe pesa nikupe ukitakachoo ukitakacho
Nibebe kwa mbeleko kama mtotoo kama mtoto
Nipe pesa nikupe ukitakachoo
Ah mi ndio Mario Mario mi ndio Mario tabibu mkubwa wa penzi lako
Mi ndio Mario ah Mario mi ndio Mario tabibu mkubwa wa penzi lako

No comments