Adsense

Ray C - Unanimaliza | LYRICS

Ray C - Unanimaliza | LYRICS 

Unanimaliza wewee
Unanimaliza wewee unanimaliza wewe
Unanimaliza wewee unanimaliza wee
Unanimaliza wewee unanimaliza wewe
Unanimaliza wewee unanimaliza wee
Penzi lako limenikolea sijiwezi darling
Unayonipa sijazowea sikuachi honey
Penzi lako limenikolea sijiwezi darling
Unayonipa sijazowea sikuachi honey
Unapokuna ndo nataka mapenzi ya majanja mi nataka acha
Sitaki mwengine we unanifaa tabibu mwingine mi sinaa
Unavyo touch touch kiunoo unaamsha amsha yaliomo
unavyoleta yako midomoo unanimaalizaa
Unanimaliza wewee unanimaliza wewe
Unanimaliza wewee unanimaliza wee
Unanimaliza wewee unanimaliza wewe
Unanimaliza wewee unanimaliza wee
Sisikilizi maneno ya watu nimekupenda mwenyewe
Sikaribishi mi ya watu tumependana wenyewe
Tutaenda wote vitani vitani tutapambani si utani utani
Mambo ni mengi duniani duniani ayayayayaya
Tutaenda wote vitani vitani tutapambani si utani utani
Mambo ni mengi duniani duniani ayayayayaya
Sitaki mwengine we unanifaa tabibu mwingine mi sinaa
Unavyo touch touch kiunoo unaamsha amsha yaliomo
unavyoleta yako midomoo unanimaalizaa
Unanimaliza wewee unanimaliza wewe
Unanimaliza wewee unanimaliza wee
Unanimaliza wewee unanimaliza wewe
Unanimaliza wewee unanimaliza wee (x2)